DAR-MWANZA nauli 35,000 - 45,000/= Inategemeana na bargaining power yako tu pale ubungo bus terminal
pia nakushauri ukate siku hyo hyo ya safari uwahi tu mapema sana hapo UBT.
Lodge ya kawaida utaipata tu hapo hapo tena karibu na Mwanza Secondary unapofanyia usaili ili usipatwe na gharama ya daladala au foleni utaulizia mtaa wa UHURU au Lango lango hapo kuna lodge ya shs 15000 ndo kipimo chako maana usije lala Lodge ya 5000 kisa unajibana ukalizwa vyeti vyako.
Komaa kaza buti mwanajeshi vitani wewe hadi kieleweke mzazi................all the best.
kwahyo ukiwa na 130,000/= unafika mwanza na kurudi.
wadau wana jamvi wenzangu , mbali na kupigiwa simu kuhusu interview kuwa 1st April Mwanza Secondary wamenitumia sms kuwa interview itakuwa kati ya 5-7days.. Pili wamesisitiza kuwa hawatahusika na cost zozote msiliwa atakazo incurred kipindichote hicho cha usail....Sina ndugu wala rafiki anaeishi mwaza. Back to the topic naomba kujuza nauli kutoka Dar-Mwanza ni shilingi ngapi? nawanaoishi Mwanza au wenyeji wa huko garama ya chumba cha kawaida tuu sio hotel kubwakubwa gesti bubu tu kulala kwa usiku mmoja ni shilingi ngapi? Yaani hapa moja haikai mbili haisogei wala tatu haijigusi kabisaaaaaaaaaaaaa.... Sina kazi hela sina interview naitaka basi mambo fululuvululu tu... Naomba kujuzwa kuhusu gharama tajwa hapo juu iliniwezefanya magazijuto nijue naitajika niwe na kiasi gani cha fedha kitakacho cover Accomodation during my interview. Natanguliza shukrani...............
Ahsante kwa informatin muku, nyegezi/buhongwa maeneo gani mkuu ili hata nikija niwe na direction nzuri hata kwa kuuliza kwa watu? na je hayo maeneo sio mbali na ilipo shule ya mwanza secondary? unapanda daladala ngapi mkuu kufika hapo mwanza secondary?
Wewe upo Dar, duh! Mie nipo Dom lakini kwa message niliyoipata sioni kama ntafika na gharama zote hizo! Hafu inaonekana watu watakua wengi sana na nafasi yenyewe sjui ni moja tu.
unaonesha hujiamin pole sana mafanikio mazur yanahtaj upinzan
Kumbe washaita watu kwenye interview lolest...Meachwa mie!!
wadau wana jamvi wenzangu , mbali na kupigiwa simu kuhusu interview kuwa 1st April Mwanza Secondary wamenitumia sms kuwa interview itakuwa kati ya 5-7days.. Pili wamesisitiza kuwa hawatahusika na cost zozote msiliwa atakazo incurred kipindichote hicho cha usail....Sina ndugu wala rafiki anaeishi mwaza. Back to the topic naomba kujuza nauli kutoka Dar-Mwanza ni shilingi ngapi? nawanaoishi Mwanza au wenyeji wa huko garama ya chumba cha kawaida tuu sio hotel kubwakubwa gesti bubu tu kulala kwa usiku mmoja ni shilingi ngapi? Yaani hapa moja haikai mbili haisogei wala tatu haijigusi kabisaaaaaaaaaaaaa.... Sina kazi hela sina interview naitaka basi mambo fululuvululu tu... Naomba kujuzwa kuhusu gharama tajwa hapo juu iliniwezefanya magazijuto nijue naitajika niwe na kiasi gani cha fedha kitakacho cover Accomodation during my interview. Natanguliza shukrani...............
Sio kutojiamini mkuu. Ebu liwaze hili, kwanza mnaenda watu kama 3000 iyo ni written
mnapunguzwa mnabaki tena 1500 mnapiga nyingine tena
700 nyingine tena
350 discusion
175 discusiion
75 discussion
30 oral
Bado hauna uhakika kama upo au haupo manake unaeza ukawa kila kitu umepita ila Bongo bhana. Haya, safari wala sijaanza, mie mwenyewe hela ntakazo zitumia ntazikopa daaah!
wadau wana jamvi wenzangu , mbali na kupigiwa simu kuhusu interview kuwa 1st April Mwanza Secondary wamenitumia sms kuwa interview itakuwa kati ya 5-7days.. Pili wamesisitiza kuwa hawatahusika na cost zozote msiliwa atakazo incurred kipindichote hicho cha usail....Sina ndugu wala rafiki anaeishi mwaza. Back to the topic naomba kujuza nauli kutoka Dar-Mwanza ni shilingi ngapi? nawanaoishi Mwanza au wenyeji wa huko garama ya chumba cha kawaida tuu sio hotel kubwakubwa gesti bubu tu kulala kwa usiku mmoja ni shilingi ngapi? Yaani hapa moja haikai mbili haisogei wala tatu haijigusi kabisaaaaaaaaaaaaa.... Sina kazi hela sina interview naitaka basi mambo fululuvululu tu... Naomba kujuzwa kuhusu gharama tajwa hapo juu iliniwezefanya magazijuto nijue naitajika niwe na kiasi gani cha fedha kitakacho cover Accomodation during my interview. Natanguliza shukrani...............
kama ni mtoto wa kike usiwaze kabisa coz me mwenyew ni mwana panel, ,,,, ni pm upate huduma zote bure hadi nyongeza