Salaam
ndugu zangu UDSM wanaumiza kama si kuwatesa graduands wa mwaka huu 2016,matokeo yalishatolewa muda umepita lakini transcripts hakuna!...mwaka jana na miaka mingine ya huko nyuma walikuwa wanatoa mwezi september,mwaka huu kuna nini? Au ndiko kuficha kuwa hakuna wahitimu walioko mitaani? Mazingira ni magum sana kwa kuwa wapo pia wahitimu wa mwaka jana hawakuajiriwa,hawa wa mwaka huu watafanya nini bila vyeti? Udsm tendeni haki katika dunia hii ya sayansi na tech...Transcripts kwanza,kazi baadae.