wiseboy Una uhakika na hayo unayoyasema????Maana si rahisi sana kampuni kufanya Unyama kama huo.maana nijuavyo mimi nyumba hizo ni za wafanyakazi ambazo wamejengewa kwa mkopo,haiingii akilini mwangu kuwa watu wanatolewa kwenye hizo nyumba wakati mkopo huo umeisha au mkopo huo unaendelea kulipwa,nahisi hapa kuna mambo hayajakaa sawa,maana ACACIA haiwezi kuleta kampuni ya MAJEMBE AUCTION MART kufanya kazi ya kuwaondoa wafanyakazi kwenye nyumba ambazo ni halali yao labda utueleze kwa nini hasa wanaondolewa kwa nguvu toka kwenye nyumba hizo.
Majembe wapo na jana wamefanya huo unyama na familia yangu pia wakaitoa nje,ni ukatili wa kijinga kabisa,hawana sababu zaidi ya kutaka kudhulumu haki za watu tunawadai hela nyingi sana hawajatulipa,haki ya nani tutalipa kisasi.Tutachoma nyumba ya mama joyce

Kweli Wise inauma sana. Ni wafanyakazi wangapi na nyumba zipi (Ilogi au Bugarama)?
ilogi na bugarama,ni wale ambao hawajamaliza madeni yao.lakini kampuni ilitakiwa iwalipe kwanza haki zao,yaani mafao yao ya nyumba wanaidai kampuni,ndo sasa ingechukua hatua ya kuwatoa baada ya kuwalipa,lakini sasa kuna dalili za kudhulumika kabisa.
wiseboy Hapo kwenye mgogoro lazima kuna chanzo.ilogi na bugarama,ni wale ambao hawajamaliza madeni yao.lakini kampuni ilitakiwa iwalipe kwanza haki zao,yaani mafao yao ya nyumba wanaidai kampuni,ndo sasa ingechukua hatua ya kuwatoa baada ya kuwalipa,lakini sasa kuna dalili za kudhulumika kabisa.