ACACIA acheni huu ukatili

ACACIA acheni huu ukatili

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Kampuni ya ACACIA Bulyanhulu kupitia kitengo chake cha Community imeamua kwa ukatili kabisa kuwatoa kwa nguvu wafanyakazi wake kwenye nyumba walizokopeshwa na kampuni hiyo kwa kutumia majembe auction mart ambao kuanzia leo jioni wameanza zoezi hilo lisilo na chembe hata ya ubinadamu,cha kushangaza kampuni kubwa kama ACACIA inashindwa kuwalipa kwanza wafanyakazi walioacha kazi mafao yao ya nyumba ili itaifishe nyumba hizo kwa haki,kampuni hii imekuwa na tabia ya kibabe kwa kiburi cha pesa za dhahabu,inauma sana mtu kumtolea vyombo nje wakati bado anadai pesa nyingi za nyumba,hii ni laana kubwa sana,familia zina watoto wadogo,mvua zinanyesha kwa wingi watu wakaishi wapi? niliyoyaona leo nimesikitika sana kiasi cha kukumbuka maneno ktk kitabu cha mwalimu mkuu wa watu kuwa,ni afadhali ya serikali ya wanyama na ndege kuliko serikali ya binadamu maana hatuna huruma hata baina yetu,ACACIA haina sababu za msingi za kutesa watu hivyo maana hakuna anayehamia ktk nyumba hizo zaidi ya kubaki mahame tu, ni ukatili sana.
 
Hii kampuni huwa inajifanya ina upendo na watu kumbe hovyo kabisa.
 
Kweli Wise inauma sana. Ni wafanyakazi wangapi na nyumba zipi (Ilogi au Bugarama)?
 
jamani tusilalamike sana tuitafute haki katika vyombo vyetu vya sheria
 
wiseboy Una uhakika na hayo unayoyasema????Maana si rahisi sana kampuni kufanya Unyama kama huo.maana nijuavyo mimi nyumba hizo ni za wafanyakazi ambazo wamejengewa kwa mkopo,haiingii akilini mwangu kuwa watu wanatolewa kwenye hizo nyumba wakati mkopo huo umeisha au mkopo huo unaendelea kulipwa,nahisi hapa kuna mambo hayajakaa sawa,maana ACACIA haiwezi kuleta kampuni ya MAJEMBE AUCTION MART kufanya kazi ya kuwaondoa wafanyakazi kwenye nyumba ambazo ni halali yao labda utueleze kwa nini hasa wanaondolewa kwa nguvu toka kwenye nyumba hizo.
 
Last edited by a moderator:

Majembe wapo na jana wamefanya huo unyama na familia yangu pia wakaitoa nje,ni ukatili wa kijinga kabisa,hawana sababu zaidi ya kutaka kudhulumu haki za watu tunawadai hela nyingi sana hawajatulipa,haki ya nani tutalipa kisasi.Tutachoma nyumba ya mama joyce
 
Mkuu nahisi unayo mengi ya kutueleza kuhusu Uzi huu.
Naomba tuanze kwanza na huyo mama Joyce ni nani? kama ulivyo mtaja
 
udongo wa pesa Napenda kukuuliza maswali fuatayo ili nijue kulikoni 1.Je bado uko kazini???? 2.Huo mkopo wa nyumba yako ulishamaliza kulipa??? 3.Kama uliacha kazi uliacha lini???? maswali hali yatatusaidia kujua What is going on.
Majembe wapo na jana wamefanya huo unyama na familia yangu pia wakaitoa nje,ni ukatili wa kijinga kabisa,hawana sababu zaidi ya kutaka kudhulumu haki za watu tunawadai hela nyingi sana hawajatulipa,haki ya nani tutalipa kisasi.Tutachoma nyumba ya mama joyce
 
Last edited by a moderator:
Kweli Wise inauma sana. Ni wafanyakazi wangapi na nyumba zipi (Ilogi au Bugarama)?

ilogi na bugarama,ni wale ambao hawajamaliza madeni yao.lakini kampuni ilitakiwa iwalipe kwanza haki zao,yaani mafao yao ya nyumba wanaidai kampuni,ndo sasa ingechukua hatua ya kuwatoa baada ya kuwalipa,lakini sasa kuna dalili za kudhulumika kabisa.
 
Naomba kujuwa ambao wanafukuwa kwenye nyumba je bado wako kazini au la????
ilogi na bugarama,ni wale ambao hawajamaliza madeni yao.lakini kampuni ilitakiwa iwalipe kwanza haki zao,yaani mafao yao ya nyumba wanaidai kampuni,ndo sasa ingechukua hatua ya kuwatoa baada ya kuwalipa,lakini sasa kuna dalili za kudhulumika kabisa.
 
ilogi na bugarama,ni wale ambao hawajamaliza madeni yao.lakini kampuni ilitakiwa iwalipe kwanza haki zao,yaani mafao yao ya nyumba wanaidai kampuni,ndo sasa ingechukua hatua ya kuwatoa baada ya kuwalipa,lakini sasa kuna dalili za kudhulumika kabisa.
wiseboy Hapo kwenye mgogoro lazima kuna chanzo.
Ebu funguka kidogo mkuu, kwani hadithi hii nahisi imeanzia katikati kama si mwishoni
 
Last edited by a moderator:
Mbona hatupati majibu toka kwa walalamikaji???? kwa haraka haraka wao ndiyo wanamakosa mimi nimewauliza maswali matatu kwenye Topic yangu namba #9 hawajajibu maswali yangu ambayo yangetoa mwangu juu ya sakata hili.
 
ilogi na bugarama,ni wale ambao hawajamaliza madeni yao.lakini kampuni ilitakiwa iwalipe kwanza haki zao,yaani mafao yao ya nyumba wanaidai kampuni,ndo sasa ingechukua hatua ya kuwatoa baada ya kuwalipa,lakini sasa kuna dalili za kudhulumika kabisa.

Nimekuelewa Wiseboy ila kitu kimoja ambacho wafakazi wa ACACIA wanajisahau ni kule kuwa mbali na serikali ya kijiji wakiamini baba na mama ni kampuni hii ya ACACIA (Barrick). Laiti kama wangekuwa karibu na serikali za vijiji wanavyoishi naamini unyanyasaji huo usingekuwepo. Kuna desturi mbaya sana ya kujibangua kati ya wafanyakazi (wenyekipato) na wanakijiji (ambao wamebatizwa jina wanazengo). Bado hamjachelewa muoneni mwenyekiti wa kijiji cha Bugarama bwana Jimmy Kimano naamini hao Majembe watatoka nduki maana hana salia mtume.
 
Mimi bado Napenda kukuuliza maswali fuatayo ili nijue kulikoni 1.Je bado uko kazini???? 2.Huo mkopo wa nyumba yako ulishamaliza kulipa??? 3.Kama uliacha kazi uliacha lini???? maswali hali yatatusaidia kujua What is going on.
 
Back
Top Bottom