the unique
Member
- Mar 8, 2012
- 47
- 1
Ni aina ya SANYO BTU 12 HORSE POWER 1 Na robo. text 0755-544219 bei 900,000/= kila moja. zipo sinza
ni mpya kabisa ziko ndan ya boksi zakeMkuu ni mpya au used
risiti za electronic sina ila za kununulia zipo. hizi zilikuw kwa ajil ya mrad but Bahat mbaya mrad ukafel ukabid ziuzweUnazo risiti za kielectronic?
Unaweza kuniuzia kumbe umepanga dili na polisi, nikiondoka tu polisi wananifukuzia..
But 12 n ndogo sanaNi aina ya SANYO BTU 12 HORSE POWER 1 Na robo. text 0755-544219 bei 900,000/= kila moja. zipo sinza