Nimewaona AC Milan wakicheza kwenye serie A mara nyingi msimu huu na sioni kama wanaweza kuwafunga Manu. Timu hii si kama ilikuwa chini ya Ancelloti na naona Leonardo bado anakazi kubwa sana.
Hivyo kwa wapenzi wa Manu msiwe na wasi wasi, leo mtashinda 1 bila au 2-1.
Lakini si ndio kila siku tunasema maneno mengi ngoma ikianza wanakimbia hasa maarufu Peasant, Masanilo, Invisible et al . Namna hii safi sana mambo yote hapa wale Mafia watoaji fweza wajue tunajua.