Hureeeeeeeeeeeeeee Mashetani.....Ronaldo out.....Dah sipati picha mihela iliyotumika kuwanunua wachezaji wote wale madrid afu timu inatoka 2nd round inaumaa kweli.
...VIVA MAN UTD
Kwa mara ya sita sasa madrid wanashindwa kufika kwenye robo fainali wakat mashetani wanaweka record vizuri kwa mara ya 4 in a row wanaingia kwenye hii hatua ya robo...
Four down..and the Big four to go..Bayern Muchen...Porto....Gooners...Red Devils....waiting for the other Big ones next week..pia tutakaribisha utabiri wa draw za robo zitakavyokuwa..zingatia kigezo kuwa waliowahi kushinda hili kombe hawezi kuchukuliwa pamoja ili kuleta ladha ya mashindano...