Mabao mawili ya kujifunga pamoja na yale ya Nocerino pamoja na mfungaji wa kileleni Serie A,Stephan El Shaarawy,yalitosha kuipa ushindi wa 4-1 dhidi ya Pescara katika Serie A. Kazi inaendelea!
mchukueni chamakh aje amsaidie swahiba wake flamini,sasa naomba niulize swli la kizushi,je ac milan ikipambana na juventus,wenger anakuwa timu gani,maana huku ana bendtner,na huku ana flamini?