Abuu Saad::Hili ndio jina langu,mimi ni mwanachama mpya humu JamiiForums

Abuu Saad

Member
May 19, 2017
94
139
Assalaam alaykum warahmatullahi wabaraakatuh kaka na dada zangu wa JF.
Nimeamua kujiunga humu ili niweze kujifunza mambo kadha wa kadha kutokana na hoja anuai katika mazingira yetu ya kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na kijamii pia ili niweze kujengeka kifikra huku nikiamini kuwa humu JF wapo wenye maarifa na wasiomaarifa kuhusu masiala hayo niliyohorodhesha hapo juu!!
Lakini pia nijifunze mengi kuhusu historia za mataifa mbalimbali pamoja na mifumo yake duniani!!
Asante.
 
Karibu sana huku tunaanza kuandika kutoka kushoto kwenda kulia usije na yale maandishi yako ya kutoka kulia kwenda kushoto

By the way subiri hapo hapo usiingie ndani atakuja dada yako Faizafox kukufungulia
 
Back
Top Bottom