UKISOMA HAPA NDIO UTAJUA JE ANASTAHILI HAYO UNAYOYAULIZA AMA LAAAH!
Absalom Kibanda
10 minutes ago via iOS
NAMTAFAKARI ZITTO KABWE: Hivi huyu kijana anastahili matusi, kejeli na dhihaka za namna hii kutoka kwa akina Tundu Lissu na viongozi wengine wa Chadema!!?? Ni stahili yake kuitwa msaliti? Ama kweli siasa ni mchezo mchafu na usio na shukrani