KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Jeshi la polisi linamshikilia mhariri wa gazeti la Tanzania Daima, A. Kibanda kwa tuhuma za uchochezi. Kibanda anashikiliwa kwenye makao makuu ya polisi jijini Dar es Salaam.
===============
UPDATES
Habari zilizonaswa sasa hivi kutoka makao makuu ya polisi Dar zinasema Mhariri wa Tz Daima Absalom Kibanda ameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa na polisi kwa zaidi ya masaa matatu kwa tuhuma za uchochezi. Amedhaminiwa na Mhariri wa Mwanahalisi Saed Kubenea kwa dhamana ya Sh 5,000,000/-. Kibanda anatakiwa kuripoti polisi hqtrs Jumatatu asubuhi.
John Heche
tunalaani kitendo cha polisi kumkamata mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania daima, kitendo hiki ni dola kujaribu kutumia polisi kutishia waandishi ili waogope kusema maovu ya serikali ya ccm.
Kama nilivyoeleza hapa: JOHN MNYIKA: Mwigamba apata dhamana; tuepuke dola ya kipolisi taratibu watawala wetu wanatupeleka kuwa na dola ya kipolisi. Mwaka 2008 walivamiwa Kubenea, Ndimara na Ofisi ya Mwanahalisi nilisema kwamba lile lilikuwa na shambulio dhidi ya uhuru wa kikatiba na haki za msingi wa kutoa na kupata habari. Matukio ya kukamatwa kwa Mwigamba na sasa Kibanda kutokana na makala ni kamata kamata ya vyombo vya dola dhidi ya uhuru wa kutoa maoni na kuwasiliana.
Ni dalili mbaya wakati huu ambapo kuna sheria mbovu kama ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011 yenye kifungu chenye kutoa adhabu ya kifungo cha hadi miaka 7 au faini ya hadi milioni 15 kwa makosa ya kukusanya maoni au kutoa elimu juu ya mabadiliko ya katiba kinyume cha sheria husika.
Kama kuandika makala tu kuhusu polisi kwa masuala ambayo hayana mwelekeo wa uchochezi au uhaini kama inavyodaiwa tayari vyombo vya dola vimeanza kamata kamata hatma ya mchakato wa katiba na masuala mengine ya kitaifa iko mashakani. Awali ilikuwa ni wananchi wa kawaida, wanasiasa wakiwemo wabunge, sasa wanahabari na hali hii itaendelea kwa wengine katika jamii kama tusipoungana pamoja kuidhibiti.
JJ
Unajuwa mtu mzima kuropokaropoka ni upunguwani? Yaani wewe ndio una akili kuliko sisi wote? unasema kutuingiza choo cha kike ni wewe na nani unaemuwakilisha hapo mpaka unatumia neno we badala ya i?Unatafuta pa kutokea baada ya kutuingiza choo cha stendi mlipoenda kunywa chai ikulu sio?!!hapa hutoki kamanda!
Kwa kufuata taaluma na maadili ya uandishi katika vyombo vya habari mhariri ametoka nje ya uringo wake kwa kuruhusu makala au barua kama hii ichapishwe kwenye gazeti lake. Mhariri ana mamlaka ya kukubali au kukataa makala au habari ambayo kwa haki alizo nazo pamoja na busara yake kulinda chombo chake cha habari.
Mhariri alikuwa na haki ya kuihariri kama kuna kitu ambacho kinaonyesha kuhamasihsa kinyume cha sheria. Na kama mleta mada alikataa angeweza kuiweka kapuini, ila kwa uamuzi wake wa kuichapa alijua nini kitatokea na ndicho kilichotokea.
Kwa habari hii kama ilivyotokea kwenye gazeti lake vigumu kumtetea, kwani siku zote kutanguliza busara ni kinga kwa kazi na wajibu.
Kwahiyo na wewe unaungana na Polisi kwamba makala ile ni ya uchochezi? umeshawahi kusoma gazeti la Al nuur wewe?Hana muda wa kusoma yuko busy na fred lowassa........!
Unajuwa mtu mzima kuropokaropoka ni upunguwani? Yaani wewe ndio una akili kuliko sisi wote? unasema kutuingiza choo cha kike ni wewe na nani unaemuwakilisha hapo mpaka unatumia neno we badala ya i?
Kwahiyo na wewe unaungana na Polisi kwamba makala ile ni ya uchochezi? umeshawahi kusoma gazeti la Al nuur wewe?
Post # 167 ulichokileta hapo wewe ni ile karasi iliyochapwa kutoa taarifa kwa vyomba vya habari, naomba utuletee document ya makubaliano yao rasmi na acha kutuchezea akili watu na akili zetu timamu!Siungani nao,ila naelewa kinachoendelea nyuma ya pazia, najua mafisadi wanamchezesha kibanda na huyo mdhamini wake ngoma yao,ndio sitamtetea hata nimkute anapigana na nyoka nitamsaidia nyoka,mi sitaki kuicheza ngoma ya kifisadi!madhara ya kuwakabidhi nchi hii mafisadi zaidi ya huyu anaeondoka madarakani ni makubwa kuliko kumuonea huruma kibanda na msaliti mwenzie huyo mmwagiwa tindikali aliekwenda kumuwekea dhamana ya mamilioni polisi!
Naona una matatizo ya kusoma kiswahili,labda ni mzuri zaidi kwa kusoma kiingereza!i don't know,but hiyo taarifa ndiyo rasmi ambayo kuhusiana na walichokuwa wakikizungumza na "kukubaliana",na hayo mawili ndio waliyoyazungumza na kukubaliana kwa mujibu wa signature ya mpendwa wako na bwana nchimbi,document ya makubaliano yapi unayoyajua wewe ambayo wengine hatuyajui?ntaiwapa wapi kwanza kama mpendwa wako hakuionyesha mimi nitaweza kweli,au unataka nifungwe kwa kukutwa na nyara za serikali???Post # 167 ulichokileta hapo wewe ni ile karasi iliyochapwa kutoa taarifa kwa vyomba vya habari, naomba utuletee document ya makubaliano yao rasmi na acha kutuchezea akili watu na akili zetu timamu!
Pili kuhusu Kibanda chuki zako kwake ni za kimaslahi zaidi, nadhani nyinyi ndio wale ambao mkikosa connection za ulaji mnaanza kutokwa na mapovu.
Wewe acha ushabiki wa kipuuzi, ni nini usichoelewa kwenye waraka ule? Au una interests zako na mambo ya kuwapumbaza watanzania?Post # 167 ulichokileta hapo wewe ni ile karasi iliyochapwa kutoa taarifa kwa vyomba vya habari, naomba utuletee document ya makubaliano yao rasmi na acha kutuchezea akili watu na akili zetu timamu!
Pili kuhusu Kibanda chuki zako kwake ni za kimaslahi zaidi, nadhani nyinyi ndio wale ambao mkikosa connection za ulaji mnaanza kutokwa na mapovu.
Wewe acha ushabiki wa kipuuzi, ni nini usichoelewa kwenye waraka ule? Au una interests zako na mambo ya kuwapumbaza watanzania?
"Pamoja na sheria hiyo kupitishwa na Bunge"....... Bunge halipitishi sheria, linapitisha mswaada.
"kwamba yawepo mawasiliano na mashauriano ya mara kwa mara kati ya serikali na wadau mbalimbali juu ya kuboresha sheria hiyo".......... Wadau gani?, kwanini isiwe wabunge?...... Hebu tuambieni wadau gani ambao watawawakilisha wananchi. Hata mimi si mdau?