PreGE2025 Absalom Kibanda ahoji CHADEMA kutaka Habari Leo wachukuliwe hatua badala ya Makalla, asema ni kuingilia Uhuru wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwahiyo nani atamwajibisha kama mahakama haiwezi kumwajibisha?
Tunapaza sauti ili ijulikane kuwa TANZANIA hakuna utawala wa Sheria bali ni maigizo kutoka juu.

Sheria hazifuatwi Katiba haifuatwi Nchi inapelekwa ki CCM tu ambao ndio TABAKA lililo juu ya Sheria.
 
Tunapaza sauti ili ijulikane kuwa TANZANIA hakuna utawala wa Sheria bali ni maigizo kutoka juu.

Sheria hazifuatwi Katiba haifuatwi Nchi inapelekwa ki CCM tu ambao ndio TABAKA lililo juu ya Sheria.
Kwahiyo uliposema "Makalla awajibishwe" ukijua kuwa haiwezekani maana yake "uliropoka" sio?
 
Kwahiyo uliposema "Makalla awajibishwe" ukijua kuwa haiwezekani maana yake "uliropoka" sio?
Nimesema kama Sheria zinavyosema hata kama tunajua CCM hawafuati Sheria inafikia hata wanaua na kupoteza Wapinzani kwa kutumia vyombo vya usalama.

Sasa wewe ulitaka tunyamaze? Ndio lengo lao tunyamaze kimya huku wao wanaendelea kuiteketeza mihimili ya Nchi na kuifanya ni ya yao binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…