Abroad job opportunities

Abroad job opportunities

Joined
Sep 27, 2014
Posts
27
Reaction score
2
Kwa wale wenye uelewa jinsi ya kuweza kusearch na kufanya application za kazi kwa kutafuta nafas za kazi nje ya tanzania naomba msaada
 
Mkuu una juhudi nzuri, kama unashindwa kusearch hizo kazi utaweza kweli kuzifanya? Jambo rahisi kabisa la kuzitafuta na kuweza kujua masharti na vigezo vyake likikushinda ni dhahiri japo sio lazima au mara zote utashindwa hata usaili licha ya kuiweza kazi yenyewe.

Abroad ina maana pana sana, kuna mashirika ya kimataifa ya watu binafsi, makampuni n.k haujasema unataka ya aina gani na kwa kazi ipi na una sifa na uzoefu gani?

Jionyeshe wewe mwenyewe kwanza kwamba uko tayari kwa kazi na una itaka mkuu.
 
Kwa wale wenye uelewa jinsi ya kuweza kusearch na kufanya application za kazi kwa kutafuta nafas za kazi nje ya tanzania naomba msaada

Abroad says that "no employment opportunities for tanzanian until you remove chama cha mapinduzi on your air surface"😉😉😎
 
ingia AJIRA ZETU alafu ingia limk ya ajira utumishi.Apo utakutana na links tofaut tofauti utaingia na kusearch unachoktaka. Asante.
 
Back
Top Bottom