About American killings

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,682
Adam Lanza is one of the 70 virgins that a
terrorist gets when they go to hell
 
Adam Lanza is one of the 70 virgins that a
terrorist gets when they go to hell

Inawezekana, lakini hebu tafasiri vizuri na kihalali hili neno "terrorists". Kuna wanaopigiwa tarumbeta kuhusika na hili neno (tunawasikia) na vile vile damned!! kuwa wanaosifiwa lakini tafsiri ya hili neno haliwatoi, Bush, Blair, Condoleeza Rice, Donald Rumsfeld, Ariel Sharon, Netanyahu, etc basi kuna vituko kweli kweli huko motoni.

Masikini Marekani, kwa upuuzo wao (irresponsible weapon (gun) culture) basi watukanwe kimafumbo watu wa jamii nyengine kabisaaaaaaaaaaaaaaa, hata hakuna uhusiano.
 
Laana hiyo ya kuwa wanafiki. Wanapo uwawa watoto palestina kwa mamia kimya lakini akifa mmoja tu marekani ni bonge la msiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…