Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,424
- 15,976
Wakuu bila shaka mmeamka salama,
Back to the topic,
Hivi kampuni kubwa kama Abood mnatukalisha abiria zaidi ya saa zima na bado hatujui tutatoka saa ngapi kisa bus limekata belt? Tena afadhari ingekua tatizo limetikea porini ila ni mjini kabisa. Imagine mtu kaamua kukata tiketi bus bus la saa 9 usiku halafu hamuoneshi kujali wala nini.
Picha ni bus ambalo limetoka Arusha saa 9 ila kufika nje kidogo ya mji wa moshi limekatika belt na wahudumu hawana kauli za kistaarabu pale abiria wanapolalamika.