Abiria wa fastjet: Full ubahili/ujuaji

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,417
Reaction score
40,115
Ni ukweli usiopingika kuwa abiria wengi wa Fastjet ndo mara ya kwanza kupanda ndege (toka kuumbwa kwa Ulimwengu huu) hapa nasisitiza hasa wale wanaotokea/wanaopandia Uwanja wa SONGWE-MBEYA. Hawa watani zangu toka Nyanda za Juu kusini walivyo wabahili wakiwa wanasafiri husafiri mpaka na ugali & Mboga kwa ajili ya kula njiani wanadhani ndege ni kama Basi. Nyie kina Mwakatobe acheni ushamba kazi kushangilia UKAWA lakini exposure hamna.
 
Sio ubahili na wao washushe bei ya vinywaji
 
du bora yao.. mi mpaka leo sijawahi kupanda ndege
 
Hahahaha kwa raha zetu maana hatuamini cha mtu zaidi ya tulichopika wenyewe.
 
Kiukweli kwa ujuaji sisi wanyakyusa tunafuata baada tu ya WAHAYA, mbwembwe nyingi hata kama tumefulia.
 
Tunahitaji mashirika design ya Fastjet kuruka mpaka Dubai, Kigali na London.
 
Daaa mi mwenyewe nimeandaa michapati kibao kwaajili ya safari ya dar mwanza
 
babu nooma sana yaani mambo meengi mara ooh nakula mihogo mara mchuchu ananitandika MAKONDE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…