Abiria wa ChitChart mpooo?

dah! aliyekusimulia kajitahidi! kama ni wewe measkron, ongeza 2 za chap chap ndio ntafikiria labda uliwahi kupanda. salimia nangwa, endasak, dongobesh na dareda

sasa wewe Smiling Saint hilo jina langu hujajua ni kijiji ukitoka MASAKTA kabla hujafika ENDASAK? Then unapita Nangwa hapo nilisoma form 1 nikakimbia upesi shule haikuwa na walimu.......... Ukitoka NANGWA then unafika KATESH.... kurudi nyuma ukitoka MASAKTA unaigia DAREDA ila ni njia panda hufiki DAREDA HOSPITALI... wenyewe wanapaita MISSION.... DAREDA Mission ukienda then unaweza kwenda mpaka BASHNET huko nyuma ya ule mlima..... NJIA PANDA YA DAREDA unakuja BABATI, then MAGUGU, then ARUSHA.............. CHEZEIYA measkron wewe!!! ha ha haaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Ngoma za long hizi ikiwa inapandisha mlima utaipenda inavyo lalamika kama mwanamke amemfumania hawara.
 
kumbe ni kweli! btw watu8 anaufahamu huo usafiri ama ndo kumchanganyia ati hiyo ni new model ya range!

my darling watu8 anafahamu sana kwani amekwishasafiri sana huko na mimi... wajua tena mambo ya sight seeing na kuona ulikowahi kupita.... yaani Smiling Saint nakumbuka ile kipindi ye Elinino tulisafiri kwa bus la Bullet/Sahib kwenda Singida from Arusha na tulitumia siku 3 wenye mikate iliisha, maji yaliisha, bwana weeee! huko katesh na udongo wa kuteleza mfinyanzi tulikaa porini na kuanza kununua mbuzi kwa wabarbaig na kuchomwa ndo watu wanakula, tulikuwa kama ndugu wasafiri wote!
 
Last edited by a moderator:
He! Bolizozo mnaikumbuka ee ngoma ilikuwa inaanzia tagamenda to mafinga then inakunja kushoto kuelekea mapanda kwa walina ulasi,
 
Ngoma za long hizi ikiwa inapandisha mlima utaipenda inavyo lalamika kama mwanamke amemfumania hawara.
ndani humo hamna cha redio, yaani inavyolalamika tu hasa kama inapanda mlima ni mziki tosha...
 
He! Bolizozo mnaikumbuka ee ngoma ilikuwa inaanzia tagamenda to mafinga then inakunja kushoto kuelekea mapanda kwa walina ulasi,
enzi izo likiisha mafuta mnasubiri siku 3 porini.
 
Basi nawaonea wivu..mimi nilisafiri na royal coach lilikuwa na choo ndani....
 
Safari ya wapi tena hiyo joh ni wah my tiket mapema without ku chelewa
 
Basi nawaonea wivu..mimi nilisafiri na royal coach lilikuwa na choo ndani....
mental kama hujatumia huo usafiri unatia huruma sana aisee......



Safari ya wapi tena hiyo joh ni wah my tiket mapema without ku chelewa
linatwanga kote kote, wahi tiketi yako mapema ukachukue kitambulisho chako cha uraia huko kijijini...
 
Last edited by a moderator:
Baby nimependa ulivyomtoa tongotongo huyu mpwa wangu SS...anataka kuanza kunikumbusha enzi za Leyland DAF za TRC(tulikua tunaziita za Railway) enzi hizooooo...

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…