Abiria wa ChitChart mpooo?

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,362
Reaction score
9,882
haya wale Ilula, Ipogoro, kibwabwa mseke tosa mpaka Tanangozi wahi tiketi yako mapema,
usisahau kubeba na luleenga, basi halitasimama njian.

Tupo sana Kamanda! But tusameheane kiasi flani , incase itasoma kama nakuringishia , laa! Ndiyo kanuni za life!
Nikuume tu kiduchu skio kua "wengine tupo juu yao! "
 
ah ah ah mkuu hilo lori mbona kama la ifunda tech? unazikumbuka air malengo the targets? unaikumbuka bedford ya mzee Mlunza pale mtu akipewa suspension? hapo kuna kituo umekisahau, kuna ruaha, kitwiru, kibwabwa, mseke, Tosa malizia na Ipamba kabisa

we katoto measkron labda uwe ulisoma Iringa girls waweza elewa hili au kama uliwahi fika kwenye shule booooora kabisa TOSAMAGANGA miaka zaidi ya kumi iliyopita
 
Last edited by a moderator:
hivi zumbemkuu unazikumbuka basi za kingkcross? dodoma via mtera? na pia basi la mkombozi la kwenda malangali? ama lile lilikuwa linaenda pomerini?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Smiling Saint wacha fujo mie sio katoto aisee hiyo bus ni kama yaliyokuwa yanatoka Arusha kwenda Katesh yanaitwa MTEI bus enzi hizo. Huko Iringa sijasoma pande hizo kabisaaaa!
 
teh teh teh hizo mtei ni either umeonyeshwa picha ama umesimuliwa, hakuna sehemu umetaja ulipanda hilo basi! kama kweli measkron ulipanda basi hizo naomba unitajie rule 3 za kupanda magari hayo?
 
Last edited by a moderator:
aisee ndo maana ulipata division zero ya pweint 6, loh! unakumbukumbu sana aisee, umekumbuka hadi lori la mlunza? kitwiru na kibwabwa? safi sana aisee.
 
teh teh teh hizo mtei ni either umeonyeshwa picha ama umesimuliwa, hakuna sehemu umetaja ulipanda hilo basi! kama kweli measkron ulipanda basi hizo naomba unitajie rule 3 za kupanda magari hayo?
ewaaaaaaaa! measkron ukuje hapa umensheni rules 3 tu!
 
Last edited by a moderator:
measkron basi langu halichagui njia, inategemea na uwingi wa abiria

wakati hapo juu ni Iringa moja..... likikutwa njia ya Tanga ama Dodoma lazima uwe na kibao cha PRIVATE hapo mbele pilisi wa barabarani hawakawii kuisimamisha gari kwa kosa la kubadili route
 
teh teh teh hizo mtei ni either umeonyeshwa picha ama umesimuliwa, hakuna sehemu umetaja ulipanda hilo basi! kama kweli measkron ulipanda basi hizo naomba unitajie rule 3 za kupanda magari hayo?

Aisee hizo MTEI bus nimezipanda sanaaaaa! yanajaza huwa hakuna kujaa kwa hizo buses, wanaopanda na kuku ndani wapo, gari inasimama kila kituo hakuna kuacha abiria...... Arusha-Katesh moja... weweeeee
 
Aisee hizo MTEI bus nimezipanda sanaaaaa! yanajaza huwa hakuna kujaa kwa hizo buses, wanaopanda na kuku ndani wapo, gari inasimama kila kituo hakuna kuacha abiria...... Arusha-Katesh moja... weweeeee

dah! aliyekusimulia kajitahidi! kama ni wewe measkron, ongeza 2 za chap chap ndio ntafikiria labda uliwahi kupanda. salimia nangwa, endasak, dongobesh na dareda
 
Last edited by a moderator:
Smiling Saint mzee wa banewano, msiwasi, hehehehehehehe!unamjua mama mingoi wewe? teh teh teh! na zuena je? ohooo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…