Abiria afariki dunia akiwa safarini ndani ya basi

Abiria afariki dunia akiwa safarini ndani ya basi

zedovish don

Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
77
Reaction score
11
Ni katika wilaya ya TARIME MJINI ilikuwa ni tarehe 9/1/2014 majira ya saa 12;20 gari iliporejea katika stendi ya mabasi na kutoa taarifa katika kituo kidogo cha polisi mjini tarime kuwa kuna abiria kafariki ndani ya gari.

Abiria huyu alikadriwa kuwa na umri kati ya miaka 22 had 27 ambae jina lake halikufahamika alipanda gari katika kituo cha mabasi sirari alikata tiketi tiketi kutoka sirari kwenda jijini mwanza kwenye kumpuni ya usafirishaji ya ZAKARIA AIRBUS na baadae gari hilo lilifika Tarime mjini kwa ajili ya kuchukua abiria katika stendi kuu ya TARIME MJINI. Baada ya gari kuonda kama mita 200 na kondakta alipata taarifa juu ya maafa hayo na dereva kurudisha gari hadi stendi na kuushusha mwili wa marehemu hadi mochwari .

JAMANI INASIKITISHA SANA!!! ITZ TRUE
 
Mungu ampumzishe kwa amani marehemu, ila tungepata na jina lake pia ingefaa zaidi
 
Rip

Ila wanamkatia tiketi abiria bila kujaza jina lake kwenye tiketi au utaratibu huko ukoje????
 
Rip

Ila wanamkatia tiketi abiria bila kujaza jina lake kwenye tiketi au utaratibu huko ukoje????

dah kaka ni baadh 2 ambao tiketi zna majina haswa waliong'ang'ania kuandka jina bt kwa marehemu tiketi haikuwa na jina ni seat number na kiasi/nauli tu!!!
 
duh, hakuwa hata na kitambulisho chochote au ndo mliogopa hata kumsearch? Apepe abiria
dah kaka ni baadh 2
ambao tiketi zna majina haswa waliong'ang'ania kuandka jina bt kwa
marehemu tiketi haikuwa na jina ni seat number na kiasi/nauli
tu!!!
 
Wampime kwanza isije kuwa kazimia tu hii taabia ya mochwari fasta fasta sio nzuri wengine tunawamalizia huko
 
Back
Top Bottom