kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,686 Apr 4, 2013 #1 Kiungo wa Barcelona, Eric Abidal (33) atakuwa "afisa mahusiano ya kimataifa" wa klabu hiyo atakapostaafu kucheza soka. Rais wa klabu hiyo Carles Vilarrubi amemuita Mfaransa huyo kuwa ni "nembo" ya Barcelona. (Marca)
Kiungo wa Barcelona, Eric Abidal (33) atakuwa "afisa mahusiano ya kimataifa" wa klabu hiyo atakapostaafu kucheza soka. Rais wa klabu hiyo Carles Vilarrubi amemuita Mfaransa huyo kuwa ni "nembo" ya Barcelona. (Marca)