Hawa wznz hataki muungano, hivi wanakuwaje na uchungu na eneo ambalo wao hawalipendi?Mbona kaka yake alikuwa mbunge Mkuranga? chao ni chao (Wazanzibar), chetu (Watanganyika) ni chetu wote (Watanganyika na Wazanzibar!)
Kikao cha Ndungulile anatoa elfu 5 wakati vikao vya mwinyi ni sh 50,000.
Mwinyi amejipanga sana,Zile chupa za Chai walizopewa kama zawadi zitamuondoa Mb.
Respect bodaboda ameleta hoja moja muhimu. Hawa wznz hatambui leseni ya JMT ambayo wao wamo.
Leo tunawezaje kuwapa uwakilishi katika bunge letu ikiwa hawambui JMT.
Pili, hawa wznz wanatuita wakoloni. Lini mtwana alipata nafasi ya kumwakilishwa 'bwana' katika utunzi wa sheria za kikiloni zinazomwathiri mtwana huyo! Insane
Tatu, kwasasa tunawalipia wznz 80 pale Dodoma kuja kutalii. Bado wanataka kuongezeka ndani ya bunge la JMT ili watunge sheria za nchi wasiotaka kuwa na muungano nayo. Nchi wanayoita mkoloni, nchi wanayoiita jirani, nchi wasiotambua hata leseni ya udereva
Nasema, bila kujali itikadi ya mgombea, nitasimama na Mtanganyika katika jimbo hilo
Kwa hili Tanganyika kwanza!
Mtoto wa Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi aitwae Abdul Mwinyi ametangaza kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni.
Mtu wake wa karibu amesema kijana ameshajiweka vizuri na chama chetu kinampigia chapuo ili kumuondoa Mbunge wa sasa.
Wiki ijayo kuna kikao cha marafiki wa mzee mwinyi ambacho ni maalumu kwaajili ya kumsaidia mtoto wao Abdul ili ashinde ubumge Kigamboni.
Unamaanisha nini? Kwani Mrema wakati anawawakilisha kule temeke alikuwa akimjua nani?Mbunge ni msemaji wa walio wengi ndani ya bunge,anawasemea kwa serikal waliomchagua ndan ya chombo halal kisheria!sasa inawezekn vp uwawwkilishe watu usiowajua?
Respect bodaboda ameleta hoja moja muhimu. Hawa wznz hatambui leseni ya JMT ambayo wao wamo.
Leo tunawezaje kuwapa uwakilishi katika bunge letu ikiwa hawambui JMT.
Pili, hawa wznz wanatuita wakoloni. Lini mtwana alipata nafasi ya kumwakilishwa 'bwana' katika utunzi wa sheria za kikiloni zinazomwathiri mtwana huyo! Insane
Tatu, kwasasa tunawalipia wznz 80 pale Dodoma kuja kutalii. Bado wanataka kuongezeka ndani ya bunge la JMT ili watunge sheria za nchi wasiotaka kuwa na muungano nayo. Nchi wanayoita mkoloni, nchi wanayoiita jirani, nchi wasiotambua hata leseni ya udereva
Nasema, bila kujali itikadi ya mgombea, nitasimama na Mtanganyika katika jimbo hilo
Kwa hili Tanganyika kwanza!
Ilimdari mimi nipo Kigamboni basi mgeni haji kuwa mbunge, labda aukane uraia wa Zanzibar
Ni kama vile umekata tamaa ya maisha,aliekuambia ukibaguliwa na wewe ubague ni naniHuyu si ndio mbunge wa EA,wacha tu watoto wa wakubwa watutawale tena wao na baba zao wamevaa''six meno'' na wengine hatuna hata raba tupo pekupeku ,si mumesikia baba yake ataendesha kikao,na kule Kigamboni si ndio kama Pemba ya Dar?wacha bwana waendelee kubebwa na baba zao na chama chao,lakini yote hayo mbona yana mwisho,kama si leo ni kesho,wangekuwa na kumbukumbu nzuri wasingesahau kulikuwa na watoto wa Mobutu,Saddam,Gadafi bana,dunia nzima iliwajua ,lakini sasa kiko wapi.