Kikao cha Ndungulile anatoa elfu 5 wakati vikao vya mwinyi ni sh 50,000.
Mwinyi amejipanga sana,Zile chupa za Chai walizopewa kama zawadi zitamuondoa Mb.
Kikao cha Ndungulile anatoa elfu 5 wakati vikao vya mwinyi ni sh 50,000.
Mwinyi amejipanga sana,Zile chupa za Chai walizopewa kama zawadi zitamuondoa Mb.
kuwachambuaje?
CDM wasipokee mtu dakika hizi,wasije tokea akina Shibudanadhani ni vyema sana ndungulile akihamia chadema.ccm hawatampitisha
Halafu wao wanatuita nchi jirani. Jamani haya tunayasema kila siku kule duru na kuonekana tuna inda, mnayaona sasa?Watanganyika mambumbu sana atatokaje mtu zenji aje achukue jimbo bara.sawa nakuingia ndani ya nyumba ya mtu nakuanza kuongoza familia yake asithubutu huyo mwinyi.
Anawatafuna?.."amewacharanga"!!
..bado tu huelewi?
..imeripotiwa kwenye magazeti ya Uganda.
Halafu wao wanatuita nchi jirani. Jamani haya tunayasema kila siku kule duru na kuonekana tuna inda, mnayaona sasa?
Nani anaweza kuwa diwani znz akitokea Tanganyika?
Nani anaweza kuingiea baraza la wawakilishi akitokea Tanganyika?