Dida kaishiwa pesa ya kampeni huyu amefanya uamuzi sahihi...kama sera zake na za Raila zinaedana yupo mara sahihi...hivi Principal Ruto baada ya kugaragazwa ugavana na yule Mama bado Nasa watamwamini kuleta kura za Rift Valley kwa Raila kweli??
Raila yafaa ajipange upya kubweteka na maamuzi ya mahakama pekee hakutoshi kumpeleka Ikulu.