JACKSON WILLIAM
Member
- Apr 8, 2017
- 18
- 12
Ndio mara ya kwanza naona hii kitu. Unamsimamisha kupisha uchunguzi? MADE IN TANZANIA.Banda anatakiwa kujifunza the hard way ili aache tabia za kihuni kihuni. Jamaa ananua sana mpira, ni hazina ya Taifa ila tabia zake sio ni kama kiana Yondani
Lkn hii kamati nayo inaleta uswahili, haipaswi kumsimamisha, anapaswa kupewa adhabu ama kuachiwa kama hana makosa. Kumsimamisha kabla ya kumtia hatiani ni kumwadhibu tayari.
Kabisa Mkuu maana je akija kuonekana Hana hatia itakuaje?Banda anatakiwa kujifunza the hard way ili aache tabia za kihuni kihuni. Jamaa anajua sana mpira, ni hazina ya Taifa ila tabia zake sio ni kama kiana Yondani
Lkn hii kamati nayo inaleta uswahili, haipaswi kumsimamisha, anapaswa kupewa adhabu ama kuachiwa kama hana makosa. Kumsimamisha kabla ya kumtia hatiani ni kumwadhibu tayari.
Kwa kutumia kanuni za nyumbani kwako labdaFungia huyo mechi 20
Maajabu ya TFF inayoongozwa na Malinzi wa YangaKumbe na kwenye mpira kuna kumsimamisha mtu kabla ya hukumu?
Ni kweli hata ile mechi ya Kagera sugar Simba imechapwa uwanjani, kama kuna dosari timu ipigwe faini ya pesa na matokeo yabaki kama yalivyo.Kamati za kipumbavu sana, ningekuwa Karibu yao ningepiga mtu ngumi pia, kumsimamisha ni kumuadhibu tayari, halafu hv adhabu ni lazima mchezaji asicheze? ?????? Badilikeni nyie watu na mawazo mgando miaka nenda rudi hamtumii akili zenu ndogo hata kidogo, Ingekuwa mimi Banda angeendelea kucheza hadi hapo TFF watakapo toa msimamo, na TFF kama Banda anahatia alipe fine tu ya Mil moja, na kuendelea na kazi.
Watu hawataki kujifunza, wanabakiza mambo tata maksudi ili mradi tu matumbo yao yajae vyakula, hovyo sanaNi kweli hata ile mechi ya Kagera sugar Simba imechapwa uwanjani, kama kuna dosari timu ipigwe faini ya pesa na matokeo yabaki kama yalivyo.
Ulaya hakuna point za mezani.
Tunapomzungumzia Banda hatuzungumzi kwa faida ya simba.Banda ni beki bora kwa sasa Nchini,tunaona mchango wake stars.Hii kumweka bechi bila hukumu ni kuua kipaji chake.Banda anapaswa kulipa faini na mpira ukaendelea.Huu uyanga na usimba ni uchawi wa soka letu.Kila mtu anavuta kwake,tunatakiwa tutazame mbele zaidi ya faida kwa simba.