Carlos Valderrama JF-Expert Member Joined Dec 27, 2014 Posts 664 Reaction score 240 Sep 20, 2015 #21 Mwafrika said: na yule muuaji wa tembo asisahaulike Click to expand... Bana miguu dawa iingie vizuri ukitikisika utavunja sindano.
Mwafrika said: na yule muuaji wa tembo asisahaulike Click to expand... Bana miguu dawa iingie vizuri ukitikisika utavunja sindano.
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,949 Reaction score 74,431 Sep 20, 2015 #22 Domy said: Bulembo hata ICC ataongea nini darasa la saba huyo! Click to expand... Mbona ndio jembe la ccm majukwaani? Hapo nadhani mwenye mtindio ni yule anayempandisha jukwaani akimuona ni bora wakati uwezo wake ndio huo. Ni sawa na mwendesha bajaj umpe bus lenye abiria aendeshe unadhani akiua atalaumiwa nani?
Domy said: Bulembo hata ICC ataongea nini darasa la saba huyo! Click to expand... Mbona ndio jembe la ccm majukwaani? Hapo nadhani mwenye mtindio ni yule anayempandisha jukwaani akimuona ni bora wakati uwezo wake ndio huo. Ni sawa na mwendesha bajaj umpe bus lenye abiria aendeshe unadhani akiua atalaumiwa nani?