GE2025 Abbas Mtemvu: DSM hakuna maandamano anayebisha ajaribu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Ila tumekubaliana wazee walale ndani wasizungumzie hili suala la maandamano.

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi( CCM), mkoani Dar es salaam, Abbas Mtemvu amesema kwa pamoja wazee wa mkoa huo wameamua kuwa hawataruhusu maandamano yenye kuchochea vurugu kufanyika mkoani humo.

Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM leo Oktoba 21, Mtemvu amesema wana Dar es Salaam wanataka maendeleo na sio maandamano.

Your browser is not able to display this video.
 
Haya hayatakuwa maandamano ya kwanza kufanyikia Daresalaam tikea enzi za akina Masumbuko Lamwai Mabere Marando Augustino Mrema maandamano mengi yamefanyika Daresalaam.

Na kama haya mtayapiga marufuku kwa vigezo vya usalama wake basi yatapangwa mengine siku ya kumuapisha Mama Samia.
 
Hauwezi kuzuia mvua ikitaka kunyesha itanyesha tu by Sugu!
 
Vipi mzee hajatoa tena kauli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…