Abarikiwe aliyemleta Rais Samia Duniani

Nimesoma paragraph mbili sikuona sababu ya kusoma yote nikaangalia tu kwenye hitimisho kama umeandika namba yako ya simu.
 
Alaaniwe aliemleta Rais Samia duniani
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi ni njaa tu....na kujipendekeza......na ndo maana ukaweka hadi namba ya simu.Ni nani alitekuroga??Unaongeza chimvi mpaka unashangaza....fanyakazi, kuwa bizzy, enjoy maisha na jamaa, marafiki na ndugu zako, Samia anatimiza wajibu wake kwa taifa na kwa familia yake.....
 
Sina njaa maana Mimi Ni mkulima ninayetumia mikono yangu na jasho langu kujipatia chakula na siyo kwamba naandika hapa kwa ajili ya kijipendekeza
 
Kwa lipi alilofanya?nenda kasikilize hotuba yake ya Leo,kwenye kupokea report ya CAG,na yeye Raisi analalamika na kushangaa mikataba ya hovyo na wizi serikalini
 
Kwa lipi alilofanya?nenda kasikilize hotuba yake ya Leo,kwenye kupokea report ya CAG,na yeye Raisi analalamika na kushangaa mikataba ya hovyo na wizi serikalini
Hakuna atakaye bakia salama ikiwa atabainika Kuchezea Fedha za Umma katika uongozi huu shupavu na madhubuti wa Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…