caballelo Member Joined Jul 1, 2014 Posts 58 Reaction score 7 Dec 21, 2014 #1 Mimi ni kijana nahitaji mwanamke alie tayari kwa mahusiano ya muda mrefu,nipo Mby kwa sasa kikazi,kwa alie tayari aje pm kwa maelezo na kufahamiana zaidi,umri usuzidi miaka 30 na walau urefu ft 5,NB: ALIE SERIOUS TU ANAKARIBISHWA TAFADHALI,AKSANTE
Mimi ni kijana nahitaji mwanamke alie tayari kwa mahusiano ya muda mrefu,nipo Mby kwa sasa kikazi,kwa alie tayari aje pm kwa maelezo na kufahamiana zaidi,umri usuzidi miaka 30 na walau urefu ft 5,NB: ALIE SERIOUS TU ANAKARIBISHWA TAFADHALI,AKSANTE
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,674 Reaction score 37,852 Dec 21, 2014 #2 Kuweni makini jamanii