Hahaaaa, Pole yenu, mnaweka memories za watu ambao hata hawakumbuki chochote. we kila ukimuona unaumia roho kwa hizo GB zenu wakati mwenzako anafurahia tu maisha. Bora hata ingekua ukikumbuka kimoyomoyo na unavyoumia nae (nao) wanaumia kama wewe, la hasha. mtu unakonda na kuteseka kwa ajili ya mwingine kimoyomoyo....?? Just forgivr, and move on.
Kusamehe na kusahau ni vitu viwili tofauti tofauti. Mungu akisamehe anasahau. na wanadamu baadhi nao vilevile lakini kwa wale wanaokumbuka yale waliokwisha kusamehe,, je yanakuja kama kumbukumbu tu au yanakuja na maumivu?? yakija na maumivu na hasira bado hujasamehe.........