A Surprise gift for him/her!

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,789
Reaction score
1,732
Jamani kuna hii kitu hapa mpya inakuja.

Ukiweza kumpatia unayempenda zawadi hii kabla hajaiona kwa wengine, itakuwa surprise kubwa kwake na bila shaka itakoleza penzi lenu.
 
Last edited by a moderator:
^^
Haya mapenzi ya kizungu ndo maana wengine tunaishia kutazma tu.
^^
 
^^
Haya mapenzi ya kizungu ndo maana wengine tunaishia kutazma tu.
^^
Nyumba ndogo zitaanza kudai hii.

Kwa wanaume wengi walio na nyumba ndogo, hii zawadi itaenda nyumba ndogo
 
Nyumba ndogo zitaanza kudai hii.

Kwa wanaume wengi walio na nyumba ndogo, hii zawadi itaenda nyumba ndogo

Hapana, itazame katika mtazamo chanya, inaweza kuamsha mapenzi katika ndoa/mapenzi yaliyofubaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…