Naitwa ××××××××××××
Napatikana Dar es Salaaam, nina degree ya ICT pamoja na biashara.
Ninapenda ku-share elimu niliyo nayo kusaidia umma wa Watanzania. Karibu kama una tatizo lolote kwenye sekta hiyo. Nitakusaidia kwa kadri ya uwezo wangu au wanaJF wengine watakusaidia.