Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Acha halloween bongo,najua kuna ile ngoma na mangongoti tu ushaijua 😕 mtu akisimama kwenye mijiti mirefu akitembea nayo na kujivalisha kiajabu nikiogopaa nilipokuwa mtoto….Kama si kosei hii ni American culture ambayo wabongo sasa tumevamia as usual..miaka kumi ilitopita ilikuwa hakuna hii siku hizi tuna mpaka Halloween bongo
Kama si kosei hii ni American culture ambayo wabongo sasa tumevamia as usual..miaka kumi ilitopita ilikuwa hakuna hii siku hizi tuna mpaka Halloween bongo
Acha halloween bongo,najua kuna ile ngoma na mangongoti tu ushaijua 😕 akisimama kwenye mijiti mirefu akitembea nayo nikiogopaa nilipokuwa mtoto .
nahisi ni hivo lakini hivi kweli kuna mtu amelinyaka akaolewa lol au ndo unaongeza juhudi ukilinyaka hilo ua!!naona kama imekaa kiimani. wanasema imani ni dawa,pengne ataeliwahi atawahi kuolewa kweli.
nahisi ni hivo lakini hivi kweli kuna mtu amelinyaka akaolewa lol au ndo unaongeza juhudi ukilinyaka hilo ua!!
Nadhani itakuwa sahihi zaidi likikuangukia tu bila kunyanganyia kwasababu inakuwa kama bahati au luck…kama ukigombania maanake waweza umpokonye mtu lilomuangukia kiukwee(destined person),naafiki pia kwamba ni part ya celebration ambayo inaongeza shamrashamra na nice ending to a wedding….kukimbilia kudaka ua mi siafiki eti ndoa itakuja soon kwa mdakaji
ukute mdakaji cha wote mchumba anaeeleweka hana afu anakimbilia kudaka ua ili iweje???? wengi wanafurahishaga baraza tu
This is very true,kwasababu inawezekana hukua na fikra au dhamira ya kuolewa lakini just the fact kwamba umenyaka ua inaweza kukupa wake up call kwamba its time hun….nafikiri baada ya kulinyaka hata akili inaanza kujiset kuolewa na si ajabu soon jamaa akatangaza ndoa. mawazo yako yana impact kubwa sana katika maisha, unavhokifikiria ndicho utachokipata.
Nadhani itakuwa sahihi zaidi likikuangukia tu bila kunyanganyia kwasababu inakuwa kama bahati au luck kama ukigombania maanake waweza umpokonye mtu lilomuangukia kiukwee(destined person),naafiki pia kwamba ni part ya celebration ambayo inaongeza shamrashamra na nice ending to a wedding .
This is very true,kwasababu inawezekana hukua na fikra au dhamira ya kuolewa lakini just the fact kwamba umenyaka ua inaweza kukupa wake up call kwamba its time hun .
Kwa maana hio wale wanaogombania ni out of desperation ya ndoa au ni njia ya kujipa matumaini kwamba i will soon be the next bride?hewalaaaaaaa hapo umenena linatakiwa likuangukie bila kupanga yaani iwe kama ajari tu kulipata lakini sio kugombania siafiki
na wabongo huu utamaduni wamevamia tu
kukimbilia kudaka ua mi siafiki eti ndoa itakuja soon kwa mdakaji
ukute mdakaji cha wote mchumba anaeeleweka hana afu anakimbilia kudaka ua ili iweje???? wengi wanafurahishaga baraza tu
Habari,
Weekend hii nikiwa nimepumzika nikitizama filamu kwenye luninga,nikaona part ambayo imenipa maswali,wapendanao walifunga ndoa kisha kawaida bride(bi harusi) kabla ya kuondoka na mumewe akarusha maua alokuwa kayabeba…kisha wale ambao hawajaolewa wakaanza kuyangangania na kuyagombania langu eee langu weee….maswali kadhaa yakanijia kwanini wanagombea ua lilorushwa…kama ilikuwa imeandikwa likufikie wewe si lingekufikia tu?Kuna ukweli wowote kwamba ukilinyaka wewe lile ua kuwa utakuwa bi harusi si baada ya muda mrefu?
Kuna mtu yoyote alinyaka hilo ua na akawa biharusi mtarajiwa…Na kwa wanaume je kuna kitu chochote kama hiki ukipatiwa ni ishara ya kuwa utakuwa next groom?Please share your experiences:A S-rose:….
Cc Heaven on Earth lara 1Vaislay Swts ICHANA Himidini sokwe watu8 Isumbwile farkhina Husninyo miss chagga sungura1980 The Boss Blessed Blue G masai dadaChocs amu Happiness Chujio charminglady badiebey Excel wengineo wote
Ahsante kwa mchango wako lol!Edit title iwe "Question of curiosity"