Wakenya wakirogwa kumchagua Odinga wamekwisha.Atakuwa kama wa kwetu maana ni marafikiMimi huyu jamaa nimetokea kumkubali sana kuliko hata Odinga.
Umesema kweli. Hakika naye( Mheshimiwa Uhuru) ameongea kama akina Prof. Abdulrahaman Mohamend Babu na Baba yetu wa Taifa.Now, this is what we call political maturity. so many leaders in the region can learn aplenty from Uhuru.
kudos Uhuru!