A Police State

Ubinafsi, hofu, rushwa na udini vipo kwa viongozi wa dini zetu hawa. Maana walishatanguliziwa michango ya kujenga makanisa, misikiti kudhamini kwaya tayari wanatonge mdomoni hawwawezi kuongea.

Hofu ya kutengwa na wakuu wao yaani maaskofu, mufty hofu ya kunyooshewa kidole na mkono wa kushoto wa dola.

Amani yao inategemea viongozi.
 
The Police have powers to arrest anybody within the law for a certain period of time before he/she appears to court, that does not prove/warrants the state to be described as a police state.
Unaandika kidhungu gan? Unatumia nguvu kutumia lugha ya wengine kwa nini usiandike kiswahili? ...arrest within law...!
 
Wasiojulikana are an example of the secret police.
 
Hili kaburi kalifukua nani? Enzi hizo jamaa alikuwa akili yake haijatiwa maji
 
nyamaza kabisa, mliyataka wenyewe, sisi tuliwaambia toka mwanzo muheshimu mamlaka ya rais na vyombo vyake nyie mnaleta nyege za amsterdam ngoja mkomeshwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…