A New Galaxy Tab 2 you can own...

cicatrix

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
58
Reaction score
3
Swalama wakuu

Kuna Samsung Galaxy tablet 2 ninauza kwa 430,000/=. Kwa yoyote atakae kua tayari tuwasiliane kwa 0762193767.(sms/call)
Mazungumzo yanakaribishwa.

Ina specs zilezile kama tablet ya kawaida so sidhan kama kuna umuhimu saana wa kuziandika, labda tuu....ukubwa wake ni 16gb, nyeusi kwa rangi, OS ni gingerbread. Unapata na charger yake pia.

Nyote mnakaribishwa.
 

Bado tangazo halijakaa sawa ,vp ni 3G au Wifi only?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…