........huu ni upande mmoja wa story. Kuna haja ya upande wa pili waseme neno. Siamini kama hakuna immigration officers hasa wa JNIA walio katika forum hii. Ebu wakuje wajibu au watoe maelezo then tufanye ulinganisho.
Kitu kimoja kinachonipa shaka na hii story ni kwamba the guy is detailed kwa majina hadi middle names na anaweza kulink matukio yote kwa ufasaha. Hii kidogo inanipa shida kwa sababu it make it appear more of a doctored work than real.