Hii ni ngumu kumesa ...
left winger
mpanzu ni bora zaidi..
namba 10
sijui sababu sijamuona mpanzu akicheza 10,
hapa pacome ni bora zaidi
Right wing
Inategemea akiwa inverted basi pacome ni bora ikiwa winger kabisa mpanzu ni bora.
As centre midfielder
Pacome bora mpanzu sijamuona akicheza na aina yake ya mpira hawezi kuwa namba 8.
Kwa type ya mpira wao.
Mpanzu ni winger na 10 anaweza cheza.
Pacome ni versatile zaidi anacheza wimger zote,10 mpaka 8 za aina zote box to box midfielder na nyinginezo.
Football iq naona
Pacome ni bora zaidi.
Matumizi ya miguu yote mpanzu ni bora zaidi.
Ikiwa hakuna budi nitamchagua Pacome, na moja kati ya wachezaji nawahusudu sana, huwa naenjoy kumtizama, nikimtizama kama najiona mimi vile kabla magoti hayajaharibika.
Viongozi wa simba walileta usenge pale kutaka kuwatapeli mawakala kiasi wakawakosa pacome na wenzie ila saa hizi una pacome 10 kisha una mpanzu 11 *****, ni hatari.