A man's biggest mistake

Shida watu wanatafuta happiness kwa watu wengine. Women should stop being needy an Men should stop feeding Women's neediness
 
A man's biggest mistake is giving another man opportunity to make his woman smile, do you play your role to make your wife smile??

Nyie mnaojifanya walimu, ndiyo mnaomegewa wake zenu. shauri yenu.
 
Tafadhari mkuu tuombe radhi wanaume wa JF...kwa coment hiii.....hahahaaa....

....mkuu lile lilirushwa gizani...lol!

Lakini uongo mbaya kuna baadhi ya ME humu ndani wamezidi sasa kulialia KILA SIKU!, kha!, yaani inabidi wapelekwe JANDONI!

Big boys don't cry!
 
Kuna wanaume wengine hawacheki na wake zao...Mke anapata tabasamu akitoka home...La mumewe hajawahi liona hata siku moja....



Kama umeshindwa kumfanya asmile utasaidiwa tu acha awe maharage, awe viazi vya mbea almradi she is happy...
 
Kuna wanaume wengine hawacheki na wake zao...Mke anapata tabasamu akitoka home...La mumewe hajawahi liona hata siku moja....

mme akiwa na mkewe mdomo mzito kama kanywa uji wa muhogo ila akitoka hilo smile lake kama mamba....
 
Ukiacha watu wafanye mkeo atabasamu itakula kwako mkuu, itabidi ufanye hiyo kazi we mwenyewe, mfano vichekesho vya whatsapp watumie rafiki zako bt wife naye mtumie, usipofanya wenzio watamtumia.

kumbe vichekesho vya whatsapp tu.....!!
 
Hakunaga formula, unaweza mfanya asmile ila kama wa kuliwa, ataliwa tu.
 
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikachukue kozi kwa mzee majuto ya ku smile kisha nitaleta mrejesho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…