sex machine zamani.... siku hizi wenginevl wanageuzwa, wengine mpaka wajibust na mizinga ya spirit na supu ya pweza!!!
Hahahahah, wengine mpaka aboostiwe na mwanaume mwenzie ndo mdudu asimame hahahaha
hahah acha tu... muda si mrefu na nyie mtaanza kutuandaa sana kabla ya game!!!
mmmm!! sikuizi walivyo na vitambi hata kuiona hawaioni lakini wanavyo jifanya hodari wa Michepuko mpaka unashangaa ivi huyu kwanini anajiaibisha.... na hapo akipewa bao moja analala mpaka anapitiliza mda wakurudi nyumbani....
Jana nilikuwa kwenye semina Bagamoyo kuhusu mambo ya mahusiano. Watoa semina waliongea mambo mengi sana ikiwamo mambo ya kujamiana.
Walisema mwanaume huwa ni Sex machine. Muda wote tu hisia zake ziko karibu tofauti na mwanamke
Walisema watu wanapokua kwenye umri wa kubalehe mwanamke na mwanaume hisia zao huwa sawa katika hali ya kawaida. Lakini mazingira, jamii na tamaduni zinaleta utofauti kati ya mwanaume na mwanamke.
Katika swala la kujamiana mwanamke huangalia vitu vingi sana kabla ya tendo lenyewe.
Lakini mwanaume yupo kihisia zaidi.
Mwanamke huchukua mda mrefu sana kupata hisia.
Basi sasa walisema mwanamke anatakiwa kuandaliwa kwa muda mrefu ili hisia zake ziwe juu.
Katika miaka ya kubalehe asilimia kubwa sana ya wanaume wamepiga puli hii ni sababu kuwa aibu inakuwa iko juu sana kuongea na mwanamke.
Kwahiyo mwanaume anatajwa kuwa ni Sex machine hachoki labda tu kwaajili ya magonjwa. Lakini kwa hali halisi hata kibabu chenye miaka 100 kinaweza kikamzalisha msichana wa miaka 18.
Ni hayo tu.
mmmm!! sikuizi walivyo na vitambi hata kuiona hawaioni lakini wanavyo jifanya hodari wa Michepuko mpaka unashangaa ivi huyu kwanini anajiaibisha.... na hapo akipewa bao moja analala mpaka anapitiliza mda wakurudi nyumbani....
mmmm,kuna Vitambi vyengine Too much.......wengine ndo wanapendewa vitambi vyao... wanaambiwa vipo sexy ati