A good wife.

Mimi nimewahi kuona tractor linatembea kwa taili tatu.sababu ni kwamba taili za nyuma ni pana.
 
Hilo linawezekana kwa tractor kutembea bila tairi moja la mbele....
 
Nishawahi kuendesha tractor ikiwa haina tairi moja ya mbele
 
Posibo wakuu na hapo hata huyo gud waifu kukaa tractor linachapa lapa kama kawa kama dawa.
 
Hilo linawezekana kwa tractor kutembea bila tairi moja la mbele....
Hata hiyo mbado kuona?

"Tembea ujioneee usingoje kuambiwa, duniani kuna mengi yote yanakusubiriii".
 
Moral of this photo ni kwamba lazima tujitahidi tuoe wananwake vibonge
 
Moral of this photo ni kwamba lazima tujitahidi tuoe wananwake vibonge
On the other hand ni kwamba hakuna kisicho na manufaa. Ndio maana siku hizi kuna watu ni matajiri kwa kuuza chuma chakavu na wengine makopo yaokotwayo majalalani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…