Labda na Kikwete hii itamuamsha lakini shida yake ni moja amejaa kibri na visasi badala ya ku-forge forward.
BWM aliingia Ikulu kufanya kazi aliyotumwa na wananch,huyu aliingia kutimiza ya mafisadi,kucheza ngoma na ushetani wake mwingi unaousikia.Pia tuwe wa kweli zaidi hiyo 61+ hakupata kaiba,alichopata ni below 50 ambapo ni kuporomoka kama nazi ishukavyo kutoka juu.Sana sana tunaona kajifunza wizi,ujambazi,udikteta na mvunjifu wa amani.atakuwa kaweka historia ya rais wa kwanza tz kuingia ikulu kimabavu.

Hii inaonyesha ame-fail...............maana kura zimeshuka, idadi ya wabunge wa upinzani imepanda sana kuliko kipindi chochote ................ imani ya wananchi kwake imeshuka ....................HE JUST THERE FOR MAKING SURE THAT MAFISADI WANALINDWA KWA GHARAMA YOYOTE.................View attachment 16723
Wanajamvi-
After what has been a hard-fought election (somewhat riggid) ever to happen in Mainland Tanzania. Many were left wondering if Tanzania will ever be the same again. It is interesting to note that the predecessor of the incumbent president goes by the name of Benjamin William Mkapa came into office in 1995 with little support from Wananchi 61±% votes. In my opinion I think that could have driven him to work hard any gain some more approval ratings and eventually won in 2000 by 71±% votes a victory Ben himself dubbed it as "Ushindi wa Kishindo"
Looking back to his compatriot "that is the current president Kikwete", thinkers will ask themselves what went wrong to this "darling" of makabwelas in Tanzania. The biggest vote slump in Tanzanian history he accrued in his second term is not something to be ignored. Does it entail that Kikwete has dismally failed people who trusted him so much to bring about change. Is it a step backward or is just a mere wake up call?
What ever the case might be, what do you think the future of Tanzania should be?
Kweli maisha ni vipindi.