A glimpse from State House | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A glimpse from State House

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shomoro, Nov 11, 2010.

 1. Shomoro

  Shomoro Senior Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Takwimu.jpg
  Wanajamvi-
  After what has been a hard-fought election (somewhat riggid) ever to happen in Mainland Tanzania. Many were left wondering if Tanzania will ever be the same again. It is interesting to note that the predecessor of the incumbent president goes by the name of Benjamin William Mkapa came into office in 1995 with little support from Wananchi 61±% votes. In my opinion I think that could have driven him to work hard any gain some more approval ratings and eventually won in 2000 by 71±% votes a victory Ben himself dubbed it as “Ushindi wa Kishindo”
  Looking back to his compatriot “that is the current president Kikwete”, thinkers will ask themselves what went wrong to this “darling” of makabwelas in Tanzania. The biggest vote slump in Tanzanian history he accrued in his second term is not something to be ignored. Does it entail that Kikwete has dismally failed people who trusted him so much to bring about change. Is it a step backward or is just a mere wake up call?
  What ever the case might be, what do you think the future of Tanzania should be?
  Kweli maisha ni vipindi.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Labda na Kikwete hii itamuamsha lakini shida yake ni moja amejaa kibri na visasi badala ya ku-forge forward.
   
 3. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  BWM aliingia Ikulu kufanya kazi aliyotumwa na wananch,huyu aliingia kutimiza ya mafisadi,kucheza ngoma na ushetani wake mwingi unaousikia.Pia tuwe wa kweli zaidi hiyo 61+ hakupata kaiba,alichopata ni below 50 ambapo ni kuporomoka kama nazi ishukavyo kutoka juu.Sana sana tunaona kajifunza wizi,ujambazi,udikteta na mvunjifu wa amani.atakuwa kaweka historia ya rais wa kwanza tz kuingia ikulu kimabavu.
   
 4. d

  dotto JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  He is not creative. Mzigo tu.
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na mdini mno. Mtu wa mipasuko ya itikadi za watanzania. Ndio mtaji wake.
   
 6. BigTime

  BigTime Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 17, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weel said SENSA, infact ukweli wa percentage gani imemchagua anaujua yeye na watu wake waliomchakachulia kura. He might even won by 38% kwa hiyo hii inamhakikishia kabisa jinsi alivyo dikteta na kuwa hana Mvuto tena. Ni dhambi kubwa sana kuongoza watu kimabavu, ndo maana hata election hii husikii neno la Mungu likitamkwa kama 2005...kuna wachungaji na masheikh walidiriki kusema KIKWETE ni chaguo la Mungu; sasa hivi nafsi inawasuta na wameshajiona walichemsha; huyo MUNGU alikuwa MUNGU gani.......me nilikuwa mratibu wa uchaguzi chama flani na kila kituo aliangukia pua, lakini overall eti ameshinda na sehemu niliyokuwa nasimamia ni kambi ya CCM......aaaaaaaaargh, ni ulevi wa madaraka tu.
   
 7. N

  Newvision JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Big time wewe umesema na umekuwa mkweli ila tusaidie ilikuwa kituo gani il Watanzania tujue maana ndio ushahidi tunauhitaji kumwaibisha huyu jamaa. He is a nonpeformer, a play-boy, na mtetezi wa mafisadi
   
 8. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Hii inaonyesha ame-fail...............maana kura zimeshuka, idadi ya wabunge wa upinzani imepanda sana kuliko kipindi chochote ................ imani ya wananchi kwake imeshuka ....................HE JUST THERE FOR MAKING SURE THAT MAFISADI WANALINDWA KWA GHARAMA YOYOTE.................
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Such a droppage JK kuna haja ya kukaza buti na kuondokana na siasa za visasi
   
 10. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That score is too high for him. It is strongly believed he got less than 50%. How much he got, I think not even Mzee Lewis Makame knows! The architects of rigging were district directors whom were operating from different areas! Frankly speaking not even them know how much he got. Then it follows that only God knows! That is not the topic and Iam aware of that fact. The lowest score was a clear disapproval rating from the wananchi. I am happy we expressed our feelings. One thing is clear, we are now counting down and soon the guy will leave that top office. If he thought five years is same as a millenium, he got it wrong. As for Beny, I never voted him but the guy performance was good and actually close to "very good". Thank you for your post.
   
 11. UTC

  UTC Senior Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hawezi kutetea ukweli hadharani. Kama anatetea ni kisrisiri akiogopa kuchukiwa.
   
Loading...