A GIS and Remote sensing Analyst, looking for Internship

Thanks so much, hiyo Geospatial experts group natumaje ujumbe, kuhusu Tanzania Labour exchange Centre sijajaribu ila nitalifanyia kazi.
Waulize wadau wa GIS walioko karibu watakuunga kwa admini akuongeze kwenye grupu.
 
Mkuu kama hautojali naomba niku PM
 
If you dont mind kuna business idea ambayo ninayo yahitaji GIS skills if you dont mind please PM me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…