Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
Nyie bana lazima muandike tangazo kwa kingereza bana? mkitumia kiswahili hamtaonekana kama wataalam zaidi?
Mzalendo Yoyo, Agenda zote na reports zipo kwa Kiingereza.
Lugha ya Mkutano ni Kiswanglish kama kawaida.
Kama uko nje ya Nchi bado unaweza kuwa Mwanachama na hata kujiunga na TPN Fund kujijengea uwezo wa kifedha.
karibu sana Mzalendo.
Nimekusoma mkuu.....naogopa sana hivi vyama hasa vya wasomi bana maana huchelewi kuambiwa kuhudhuria ulipe $50 kama wale jamaa fake wa ICT
Kiingilio,kiingilio ujasiriamali mpya,bw Msimbe vipi Fibre bana huko kwenu Simbanet mbona mlianza kwa kishindo lakini sasa ni dolo kulikoni
Nyie bana lazima muandike tangazo kwa kingereza bana? mkitumia kiswahili hamtaonekana kama wataalam zaidi?
mhhhh.......
Hahaha si wanatumia lugha fasaha ya nchi yetu,
FL karibu sana. Kama Mwanataaluma ni jambo jema kuunganisha nguvu na wengine. Ukiwa JF unatoa michango ya kifikra ukiwa TPN unaonyesha vitendo zaidi.
Karibu sana.
Mtsimbe,Ukiwa TPN siyo unaonyesha vitendo zaidi bali unatoa mfukoni zaidi haya aneno mawili yanatofautiana.Huu mtandao siyo NGO yako na wadau fulani fulani?Mbona wanataaluma wa Ufisadi huwakatai kama wanachama?
Mzalendo; sidhani kama hapa ni mahali pa malumbano. lakini kama una haja ya kupata data kuhusiana na niliyoyasema au kupata ukweli kuhusu tuhuma zako, bila ya shaka nitafurahi kukukaribisha ofisini. Vitabu vyote na kila kitu cha TPN kiko wazi kwa ajili ya public.
Ni mazoea mazuri tunapoongea vitu tuwe wakweli na kuwa na facts zote.
Karibu kwenye AGM kwa kuhakikisha zaidi.
Mtsimbe ukweli ni upi hapa Tanzania?Kama Waziri ana cheti cha kugushi?Utashindwa nini kutuambia kuwa ni kweli TPN ni NGO yako tuu?Kwani Msanii mama Mbene twamjua vema!!