A frames ni nzuri sana kwa space,na pia ni kivutio.Ila kuna mambo ya kuzingatia.View attachment 2992778View attachment 2992779Hello wajuzi.
Ktk tafiti zangu, nimekuwa ninawaza kujenga Get away houses, Airbnb, na ki sehemu kwa ajili ya watu wanaotaka kuishi ktk mazingira ya nature, around sehemu fulani hivi Pwani.
Mwanzo nilikuwa nataka kujenga kama zile za Safari bandaz, Morden Mud houses, ila katk mizunguko yangu nimekutana na hizi " A FRAME HOUSE".
Naona linawekwa zege, tofali zinainuliwa juu, kisha uzekaji wa A FRAME unafata. Humo ndani ,nimeona mbao zikituka sanaa,
Maswali yangu!
Je, jinsi gani ya kuzi tunza? Ishu za mchwa kuna namna ya kukabiliana nazo.??
Nimeona kwa nchi za wenzetu wakiweka insulation material, Je kwa huku tunawezaje kukabiliana na ishu ya hali ya hewa?
Msaada tutani nisije ingia cha kike.
View attachment 2992775
Kuna vipengele kadhaa nataka kuweka sawa...Kuna nchi kujenga nyumba ya mbao ni more expensive kuliko nyumba ya tofali....- Fikiria hili kwa umakini
Another thing, nyumba zinatengenezwa kulingana na mazingira iliyopo. Huku kwetu kuna joto kali, mara nyingi naona nyumba za mbao mazingira ya baridi sana.
Pia ukanda huu una mchwa, unaweza kuta nyumba ikaliwa ghafla hata hujamaliza mwaka
Nyumba za mbao zinawaka unaweza jikuta unaishi kwenye kuni. Mzee aliweka nakshi za mbao mbao urembo kwenye nyumba yake, hizo zilikuwa zinachochea moto ziliwaka balaaa - think about it
Pili hicho kijumba hakina space kabisa, sijajua umependea nini, unaweza kuta unapanda huku unainama
Unataka ujenge nyumba uishi kama uko kichochoroni ? Why?
Mbao inakuwa bora zaidi kwenye cold climate utake usitake. Haimanishi hazipo kwenye joto kali, ila ukiona pwani hakuna nyumba za mbao ujiulize why?Kuna vipengele kadhaa nataka kuweka sawa...
1.Huku kuwa Mazingira ya Joto : Kwanza inabidi utambue kuwa Mbao ina uwezo mkubwa sana wa kukabiliana na Joto...
-Yaan mbao ni nzuri kwenye joto kuliko Zege au Matofali ya kawaida.
2.Uharibifu wa mchwa : Kemikali za kukabiliana na wadudu waharibifu zipo za kutosha na zinauzwa madukani.
-Mataluma ya reli hasa TAZARA,zipo za mbao na zimedumu miaka ya kutosha
3.Kwenye Moto : Mbao inayo andaliwa kwa ajili ya ujenzi wa nje,hutofautiana na mbao za urembo...
Huandaliwa kwa ajili ya kukabiliana na majanga kama hayo
Wakati wasema pwani mbao hazifai..unasahau kuwaMbao inakuwa bora zaidi kwenye cold climate utake usitake. Haimanishi hazipo kwenye joto kali, ila ukiona pwani hakuna nyumba za mbao ujiulize why?
Tutabishana kila mtu atavutia upande wake. Ila hizo mbao unazotaka kuweka wewe zinawaka kama kuni
Second mbao ngumu zinauzwa expensive sana ubao mmoja mkongo au mninga unauzwq kuanzia 75000 mpaka 150,000
Sasa brother unataka kujenga nyumba kwa Cyprus au pines? Be serious
Hata hizo mbao ambazo zinachukua mda kuliwa ni aina ya mbao chungu plus mbali ba kuweka dawa, in regular intervals.
Kwa pwani siafiki hata kidogo hakufai kujenga aina hiyo ya nyumba anayotaka mwamba
Again aina gani ya mbao? Go back to my previous statementWakati wasema pwani mbao hazifai..unasahau kuwa
1. Ngalawa na Meli kubwa nyingi zilitengenezwa kwa mbao na zinapita kwenye maji tena ya Chumvi...
2. Magofu ya Bagamoyo ni yalitumia mbao badala ya nondo
3.Nenda Zanzibar ukaone ujenzi wa Resort ukifanywa kwa mbao
Kwenye Materials science tunasema : Materials zote zina nguvu sawa : Ni ujuzi ndiyo utakao kufanya utumie matilio gani....