A country called "Little Tanzania Republic"

Mkuu unaandika kama unajibu maswali ya History kidato cha nne!
 
Ni mtaa hapo Bujumbura wenye waislam wengi nao huzungumza kiswahili tu. Waarabu kwa wingi ndilo chimbuko la akina Zitto
Mkuu una uhakika na unachokisema kwamba Chibitoke ni mtaa wa Bujumbura? Huo mji mkuu wa jimbo la Cibitoke ambao uko mbali kidogo kaskazini mwa Bujumbura umbali wa kama km 70 au 80 hivi! Na inaandikwa Cibitoke siyo Chibitoke ingawa kutamkwa inatamkwa kama ulivyoandika!
 
Hii ni kweli. Kuna jamaa yangu mmoja alinambia akiwa Burundi anaweza hata akatoka out akiwa ameiacha passport nyumbani na hana mashaka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…