But the fact is PK na M7 are war mongers, in the region some time I become sypthetic with innocent JPM becoming close to blood sunkers of the region, may be bcz is an amanture in the regional politics....it's like 1day old chick passing beside the mouth of awaiting combra.....we should not expect peace and security as long as these "military tranders" are in power
Ooh sikujua, For how long? Mbona haiko mahala hiyo.Alikuwa kabla au baada ya nani?beem..jk aliwahi kuwa post war intelligence chief
i concur!This makes me think.
Kikwete was a strong and stable force behind, when it came to handling the politics of the Great Lakes Region.
At least we could sleep peacefully and have assurance of the following day, in those 10 yrs he was in power.
Sasa, with the current adm. and on top of all this going on...Asalaaleeh!
(I stand to be corrected)
Mr slim hajaaminiwa na Watz hata Jpm hajamwamini.Kikwete, who had earlier served as the country’s Intelligence Chief and Foreign Affairs Minister
JK hajawahi kuwa Mkuu wa Usalama
the same time avoid a political catastrophe in his own country where opponents would capitalize on his failure to protect the Burundi democracy which Tanzania’s forefathers had guaranteed.
Opponents gani?
Kabarebe used the opportunity to criticize France for its support for Uganda and accused the French of helping the UPDF to train a mountain division as part of its cooperation accord with Museveni’s government. Total, the largest investor in Ugandan natural resources, is also involved in financing the refinery and pipeline to export Ugandan crude oil from Hoima to the Tanzanian port of Tanga.
Maana yake anaweza kuhujumu mradi kuwaumiza Ugandana kuwakomo wafaransa kupitia Total. Sisi ndio huyu PaKa tumemfanya rafiki mpaka jikoni atakuja kutuumiza huyu ni mtu hatari sana kila sehemu yeye tu Uganda,Burundi,Congo sisi ndio tunamuamini vipi? Kwa lipi
tia nyama hapo kwenye kujiandaa kufanya tinachojua...Mr slim hajaaminiwa na Watz hata Jpm hajamwamini.
Jenga ratiba zake za kututembelea hapa kwetu utaona ni baada ya vifo vya walinda amani kule Kongo na wakati tukijiandaa kufanya tunachokijua ndio uliona akaja fasta hapa kwetu,na akaahidi kujenga reli kule shinyanga na alipotoka akaja mjumbe wake kuleta mikataba kadhaa na ndio maana uliona mambo yaliisha ila ile ndio ilikuwa kiama yake.
So hakuna anaemwamini hata mmoja hivyo yaacheni tu kama yalivyo
Hapa kwenye ukanda wetu kuna mataifa makubwa kama manne hivi pamoja na makampuni makubwa yao yanayoleta pua zao.DGSE, FRENCH External Intelligence Agency.
How come wanaonekana kujishughulisha na Internal Affairs za baadhi ya nchi za Great Lakes Region?!, halafu sio kujisghulisha tu, mpaka ku spill the beans, i.e the allegedly assassination plot ya Museveni?
Kikwete, who had earlier served as the country’s Intelligence Chief and Foreign Affairs Minister
JK hajawahi kuwa Mkuu wa Usalama
Is the" best" kwa kutumia vigezo gani? Au unatumia uzalendo wa ki ujaama wa kusifia cha kwako hata kama ni kibovu.Ni kweli JWTZ is the best army we should be proud about
Kama huijui tasisisi ya JWTZ basi ni afadhali unyamaze usilete siasa za kupingapinga kila kitu. JWTZ ni jeshi imara liliojengwa na kusukika haswa. Inawezekana unakutana na wapiganaji wachache mitaani ukawaona goigoi, lakini jeshi imara hutokana zaidi na uongozi wake siyo idadi ya wapiganaji wala ukali wa silaha zao. Nikikurudisha nyuma sana miaka hiyo ya sabini, Uganda ilikuwa na silaha nyingi sana tena za kisasa sana ilizopata siyo kwa kuuza shaba yote kwa Urusi na kupewa silaha hizo bali hata kwa kuletewa silaha za kisasa zaidi kutoka Libya. Vile vile jeshi lilikuwa kubwa sana kwa vile amini alikuwa akiwekeza katika jeshi tyu, na zaidi ya yote akaletewa wapiganaji zaidi kutoka Libya. Lakini jeshi hilo halikuwa na uongozi uliosukika, na utakuwa umeshakia yaliyowapata. Vita hupangwa na makamanda, wapiganaji hufuata mipango hiyo; na kwa upande huo makamanda TWTZ ni moto wa kuotea mbali sana;usisogelee kwenye anga zao.Is the" best" kwa kutumia vigezo gani? Au unatumia uzalendo wa ki ujaama wa kusifia cha kwako hata kama ni kibovu.
Huja jibu swali unatumia vingezo gani kusema JWTZ ni bora Africa mashariki na Kati, kigezo cha miaka ya 70 sio kigezo....uwezo wa jeshi lolote unaendana sambamba na uchumi wa hiyo nchi ndomaana unaona Marikani, China Israel uingereza nk wana uongoza kwakua na jeshi bora duniani......sasa Tanzania inayo zidiwa kiuchumi na Kenya karibu mara mbili itakuaje na jeshi bora kuliko Kenya au Congo.....huo ni muujiza gani?Kama huijui tasisisi ya JWTZ basi ni afadhali unyamaze usilete siasa za kupingapinga kila kitu. JWTZ ni jeshi imara liliojengwa na kusukika haswa. Inawezekana unakutana na wapiganaji wachache mitaani ukawaona goigoi, lakini jeshi imara hutokana zaidi na uongozi wake siyo idadi ya wapiganaji wala ukali wa silaha zao. Nikikurudisha nyuma sana miaka hiyo ya sabini, Uganda ilikuwa na silaha nyingi sana tena za kisasa sana ilizopata siyo kwa kuuza shaba yote kwa Urusi na kupewa silaha hizo bali hata kwa kuletewa silaha za kisasa zaidi kutoka Libya. Vile vile jeshi lilikuwa kubwa sana kwa vile amini alikuwa akiwekeza katika jeshi tyu, na zaidi ya yote akaletewa wapiganaji zaidi kutoka Libya. Lakini jeshi hilo halikuwa na uongozi uliosukika, na utakuwa umeshakia yaliyowapata. Vita hupangwa na makamanda, wapiganaji hufuata mipango hiyo; na kwa upande huo makamanda TWTZ ni moto wa kuotea mbali sana;usisogelee kwenye anga zao.
israel ana uchumi imara!!?Huja jibu swali unatumia vingezo gani kusema JWTZ ni bora Africa mashariki na Kati, kigezo cha miaka ya 70 sio kigezo....uwezo wa jeshi lolote unaendana sambamba na uchumi wa hiyo nchi ndomaana unaona Marikani, China Israel uingereza nk wana uongoza kwakua na jeshi bora duniani......sasa Tanzania inayo zidiwa kiuchumi na Kenya karibu mara mbili itakuaje na jeshi bora kuliko Kenya au Congo.....huo ni muujiza gani?
Mmmh!!!! Sijui uwezo wako wakuelewa mambo ya nshi za nje kama bado unahoji uchumi wa Israelisrael ana uchumi imara!!?
labda ungetafiti wewe uwezo wako ws kuelewa mambo ya nje..maana ulitaja chumi mbili kubwa duniani ukaipachika na israel humohumo..wakati top five haimo..lakini zilizomo top 7 ukaziachaMmmh!!!! Sijui uwezo wako wakuelewa mambo ya nshi za nje kama bado unahoji uchumi wa Israel
Fuatilia tena vizuri, Israel inapewa msaada wa zaidi ya Billioni 2 USD kwa mwaka kwa ajili ya matumizi ya kijeshi tokea mwaka 2009. Kibaya zaidi juzi Marekani wamekubali kutoa tena msaada wa Billion 38 USD kwa Israel kwa kipindi cha miaka kumi ijayo, ambapo kwa mwaka Israel atakuwa anatumia zaidi ya Billion 3 USD kwenye silaha peke yake.Mmmh!!!! Sijui uwezo wako wakuelewa mambo ya nshi za nje kama bado unahoji uchumi wa Israel
Mkuu sawa umeandika vizuri sana ahsante ila unachanganya vitu viwili......kuna kua na jeshi bora ni kitu nitofouti nakushinda vita (battle au war) kua na jeshi bora lazima uwe na uchumi bora, wakati kushinda warfare lazima uwe na mbinu za kijeshi na intelejisia na technology ya jeshi. ambayo pia inahitaji investiment ya pesa.....Isreal ni ya pili kwa uchumi katika mashariki ya kati baada ya saud arabia....lkn inaongoza katika ntelejisia na technology ya vita..... kwahiyo turudi kwetu tunaongoza kipi uchumi au sophiscated military technology au intelejisia ya kijeshi? Jibu ni kwamba baado tuko dhaifu katika kila kitu, labda idadi ya wanajeshi tunao ya kutosha nasalaha za AK47 tunazo tangu zingunduliwe na misrael mwaka 1942.