Kwa kweli nimesikitishwa sana na ajali zilizotokea,
Otherwise, mshana jr umenitatiza, why call it a BLACK day?, kwa nini utumie rangi nyeusi kama kiashirio cha mabaya?
Kwa kweli nimesikitishwa sana na ajali zilizotokea,
Otherwise, mshana jr umenitatiza, why call it a BLACK day?, kwa nini utumie rangi nyeusi kama kiashirio cha mabaya?
Ukipata taarifa za ajali zote zilizotokea Leo, utajua ni kwanini, tangu kunapambazuka ni ajali tu leo
BTW hata misibani tunatumia nguo nyeusi kuonyesha huzuni na majonzi yetu, hapo sikuwa na maana ya mabaya bali huzuni na majonzi
hiyo happy nation iliyo anguka nilipanda jana toka mbeya kuja dar, mwendo wake kama formula 1.Nili mwambia jamaa yangu siku hii basi ikipata ajali kwa mwendo ule itakua majanga, too bad ime tokea leo.
Pole kwa majeruhi na wafiwa.
nimekuwa nafuatilia sana mwezi wa april, february na august kunatokeaga vitu visivyo sahulika yaani vya kusikikika zaidi mara nyingi huwa ni vya kimataifa
Ukipata taarifa za ajali zote zilizotokea Leo, utajua ni kwanini, tangu kunapambazuka ni ajali tu leo
BTW hata misibani tunatumia nguo nyeusi kuonyesha huzuni na majonzi yetu, hapo sikuwa na maana ya mabaya bali huzuni na majonzi
Huu ni utamaduni ambao waafrika tunatakiwa kuupiga vita, black is the colour of our skin, why use it to symbolize calamities?
Kwa nini isitumike kijani au njano?