Huu ni unafiki, kwanini msiwachane kwamba hamtaki kuliko kuleta majungu mitandaoni huku.Huu ndio ukweli mchungu,wapiga mizinga wengi sio kwamba wana shida sana hapana ila ni mazoea ambayo wamejijengea kuwa maisha yao hayaendi bila mtu fulani ndio maana akikuomba pesa leo ukimpa basi wewe ndio utakuwa kimbilio na shida za aina zote duniani atakumbia wewe mpaka siku utakapomchoka na usiposhtuka kila mwezi mshahara wako lazima mtagawana tu.
VIPI MKUUDuh!
It is ok hamna tabu wala usiwaze...Sasa hivi nikitoa uzi naanza kucomment mwenyewe ili niwe wa kwanza!
Jiwe gizani loh ! Limempata muhusika sio kwa povu hilo [emoji41]Huu ni unafiki, kwanini msiwachane kwamba hamtaki kuliko kuleta majungu mitandaoni huku.