JFMatumbulu
Member
- Jul 18, 2012
- 57
- 11
Wana jamvi,haya ni maoni na mtazamo wangu:
Nionanyo mimi na kwa utafiti mdogo tu nilioufanya katika majimbo mbalimbali kuna uwezekano mkubwa sana zaidi ya asilimia 90 ya wabunge wa CCM hawatarudi tena bungeni;baadhi ya majimbo machache tu ambayo nimejaribu kufanya utafiti mdogo ni kama:Segerea,Same Mashariki,Ukonga,Dodoma Mjini,Mtera,majimbo karibu yote ya mkoa wa Lindi,Mwanza,Kilimanjaro,Tarime,Arusha ambako kuna wabunge wa CCM (taja mengine unayoyafahamu.)
Ni wakati sasa kwa chama cha CHADEMA kutengeneza nguvu kuanzia kwenye ngazi za chini kwani kama hali itaendelea kama ilivyo katika nchii hii..ushindi wa wazi kabisa kwa CHADEMA unasubiriwa.